Call for application for academic 2015/2016

Chuo cha misitu Olmotonyi kinawatangazia nafasi za kujiunga na masomo ya misitu kwa udahili wa serikali na udahili binafsi kwa mwaka wa masomo 2015/2016.

Kupata maelekezo ya namna ya kujiunga na chuo chetu fuata maelekezo hapa chini.